JPM azungumza na mlemavu kijiji kwao Chato

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Bw. Ashraf Ramadhani, mlemavu kutoka Bukoba mkoani Kagera, aliyemtembelea kijijini kwake Chato mkoani Geita ambapo alikaa na kumsikiliza changamoto za kimaisha anazokumbana nazo.

Chapisha Maoni

0 Maoni