Maftaha: Tunataka kujua pesa zinapelekwa wapi

Bunge la Bajeti linaendelea Dodoma huku Wabunge wakichangia mapendekezo katika Bajeti za Wizara mbalimbali. Mbunge wa Mtwara Mjini Maftaha Nachuma alikuwa miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kuchangia mapendekezo katika Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ambapo alilieleza Bunge kuhusu ubadhirifu wa fedha kwa wakulima Mtwara.


Chapisha Maoni

0 Maoni