Maxime aishauri TTF juu ya Serengeti Boys




Siku chache baada ya Serengeti Boys Kuondolewa kwenye Michuano ya AFCON U17 Kocha wa Timu ya Kagera Sugar Meck Maxime ametoa Ushauri kwa TFF kuwekeza kwenye soka la Vijana, Maxime amesema

“Timu imeonyesha uwezo mzuri na hata maandalizi yalikuwa mazuri, matokeo hayakuwa mazuri kwetu hivyo lazima tujipange kwenye michuano ijayo lakini lazima tuwekeze kwenye soka la vijana, kwa kuanza na klabu za Ligi Kuu,”alisema Maxime.

Chapisha Maoni

0 Maoni