Zinazovuma: Usajili Yanga leo tarehe 23 Mei

Image result for george lwandamina yanga

  • Mchezaji wa Timu ya Yanga Mzimbabwe Thaban Kamusoko ameuomba Uongozi wa Timu ya Yanga awe mchezaji wa Kwanza Kusainiwa kwaajili ya Msimu Ujao wa Ligi na Michuano ya Kimataifa, Kamusoko ambaye alijiunga Yanga mwaka 2015 akitokea FC Platnum ya Zimbabwe ameonyesha Kufurahia mafanikio ambayo amekuwa akiyapata akiwa na Klabu ya Yanga. (Mtanzania)



  • Kocha wa Yanga Mzambia George Lwandamina "Big G" KUPITIA gazeti la Uhuru la Leo limeandika anampango wa Kukifumua Kikosi cha Timu ya Yanga kwaajili ya Msimu ujao wa Ligi na Michuano ambayo Yanga Itashiriki ili kukiimarisha Kikosi chake

Chapisha Maoni

0 Maoni