Rais wa Zanzibar Dkt Shein atoa salamu za mwaka mpya 2017

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa salamu za mwaka mpya wa 2017 kwa Wananchi wa Zanzibar na Tanzania kwa
ujumla, ambapo ameuombea kuwa mwaka wa mafanikio na Amani. Salamu hizo alizotoa leo Desemba 31, 2016, katika  ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,(Picha na Ikulu.)

Chapisha Maoni

0 Maoni