Wanafunzi 11 wadakwa wakidaiwa kufanya ngono na mbwa Arusha.

YAH: TAARIFA YA AWALI

MLALAMIKAJI: DAMAS.P.M-ASP
KOSA: JALADA LA UCHUNGUZI
Tafadhali rejea somo lililotajwa hapo juu.


Mnamo tarehe 20/10/2016 majira ya saa 10:00hrs hapa Kituo Kikuu cha Polisi Arusha , Mkuu wa Upelelezi Makosa Jinai Wilaya ya Arusha DAMAS.P.M-ASP alipokea taarifa kutoka kwa raia mwema kuwa Wanafunzi wa Shule ya Msingi Sombetini wanafanya mapenzi na Mbwa huko Mto Ngarenaro.

Taarifa kamili ni kwamba , Katika mahojiano na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Sombetini Mwalimu EVELINE D/O SIMALENGA, umri miaka 53, mbena, mkazi wa Sombetini ambaye alikiri kuwepo kwa taarifa hizo na kwamba Wanafunzi 11 wa darasa la tatu na mmoja kati ya o wa darasa la nne walikuwa wakifanya vitendo vya ngono na mbwa huko maeneo ya uswahilini kando ya Mto Ngarenaro . Mwalimu EVELINE D/O SIMALENGA alieleza kwamba mnamo tarehe 13/10/2016 majira ya saa 10:00hrs akiwa shuleni alifika Mzazi wa Mwanafunzi aitwaye YP wa darasa la tatu akiongozana na mwanaye na kueleza kuwa amemkuta mtoto wake maeneo ya Mbauda na muda huo ulikuwa ni wa vipindi shuleni.

Mwalimu EVELINE D/I SIMALENGA alimuuliza mwanafunzi huyo kwanini ametoroka shule wakati wa vipindi , Mwanafunzi YP, umri miaka 10, masai, mkazi wa Shamsi aliomba msamaha na kisha kueleza kuwa siku hiyo ilikuwa ni mara ya kwanza kutoroka vipindi kwenda Mbauda bali siku nyingine huwa wanakwenda maeneo ya uswahilini akiwa na wanafunzi wenzake aliowataja kwa majina ambao ni HHT,umri miaka 11, mzigua, mkazi wa Mbauda , mwanafunzi wa darasa la nne, GA , umri miaka 8, mchaga, mkazi wa sombetini, DP,umri mika 13, mbulu, mkazi Soko mjinga, AS, umri miaka 11, msambaa, mkazi wa Ngusero, AIO, umri miaka 10, mrangi, mkazi wa Mbauda, EA, umri miaka 9, msambaa, mkazi Mbauda, AM ,umri miaka 10, mnyaturu, mkazi wa Mbauda, EP , umri miaka 10, msambaa, mkazi wa Ngusero , JN, umri miaka 9, mnyiramba, mkazi wa Mbauda na YM, umri miaka 7, mrangi ,mkazi wa Kwamrombo wote ni wanafunzi wa darasa la tatu , alisema kuwa wakifika huko mtoni huwa wanaogelea kisha kufanya mapenzi na mbwa watatu ambao huwa wanakuwa eneo hilo.

Baada ya Mwalimu EVELINE D/O SIMALENGA kupata taarifa hiyo aliwaita wanafunzi wote waliotajwa na kuwauliza ukweli wa taarifa hiyo ambao nao wote walikiri kwenda huko mtoni na kufanya mapenzi na mbwa hao na walieleza kuwa aliyewapeleka na kuwafundisha ni mwanafunzi mwenzao aitwaye HHT. Mwalimu EVELINE D/O SIMALENGA aliitisha kikao cha wazazi wa wanafunzi hao kwa kushirikiana na Kamati ya Shule ambapo watoto hao walikiri mbele ya wazazi wao kufanya vitendo hivyo . Baada ya kuwasikiliza wanafunzi hao maamuzi yalitolewa ambapo kila mzazi alimuadhibu mwanae kwa kumchapa viboko vinne .

Aidha Wanafunzi walioadhibiwa walisaini kwenye kitabu cheusi kwa kumbukumbu kisha Wazazi walishauriwa wawapeleke watoto wao Hospitali ili kupima afya zao na pia wawe wanafika shuleni mara mbili kwa wiki ili kujua maendeleo ya watoto wao.

Jeshi la Polisi lilifanya mahojiano na wanafunzi hao ambapo wote walikiri kufanya mapenzi na mbwa hao na walimtaja mwenzao HHT kuwafundisha kitendo hicho , Katika mahojiano na HHT alieleza kuwa alifundishwa kitendo hicho na rafiki yake aitwaye IS Mkazi wa Majengo ya juu ambaye alifahamiana nae eneo la uwanja wa mila Sombetini ambapo IS alikuwa anakuja na mbwa wake na kupiganisha na mbwa wengine na kisha kwenda mtoni kufanya mapenzi na mbwa wake, kitendo kilichopelekea HHT kujifunza kufanya mapenzi na mbwa ,ambapo baadaye aliwafundish wanafunzi wenzake.

Juhudi zinaendelea za kumpata IS ambaye sio mwanafunzi ili kufanya nae mahojiano , wanafunzi wamepelekwa Hospitali ya Mount Meru kwa uchunguzi wa afya zao. Upelelezi wa shauri hili unaendelea na nitakuwa nakujulisha mara kwa mara.

NB: Majina ya wanafunzi hao yameondolewa kutokana na umri wao
JALADA: AR/PE/CID/ 88/2016

Chapisha Maoni

2 Maoni

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA