Lissu: 95% ya Madini Yetu Yanaibiwa Hapa Nchini, Magufuli Amekomaa na 5% Sababu tu Yanatoka Nje


Tundu Lissu amesema rais anamiinisha watu uongo na ripoti ya Profesa Mruma ni takataka ambayohaitamaliza hata dk. 15 mahakamani.

Amesema makontena yaliyoshikiliwa bandarini yana 5% pekee ya dhahabu yetu na 95% ya dhahabu wana extract mgodini na ndipo wanapotuibia lakini Magufulihajaona kama tunaibiwa kwa sababu tu wana extract mchanga nchini

Chapisha Maoni

0 Maoni