CHADEMA imefungua kesi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kupinga ushindi Meya wa Kinondoni

CHADEMA imefungua kesi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kupinga ushindi Meya wa Manispaa ya Kinondoni.


Walalamikaji wakiwa ni Mustapha Muro (aliyekuwa mgombea Meya Manispaa ya Kinondoni) na Jumanne Amir Mbunju (aliyekuwa mgombea Naibu Meya wa Manispaa hiyo) wote wakiwakilisha na Wakili wa CHADEMA, John Malya.

Kesi iliyofunguliwa dhidi ya Afisa Utawala wa Manispaa ya Kinondoni, Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, Benjamini Samweli Sita ( aliyetangazwa kuwa Meya) na Manyama Mangaru ( aliyetangazwa kuwa Naibu Meya)

Chapisha Maoni

0 Maoni