Msanii wa Maigizo Haji Jumbe ambaye amekuwa akiigiza kama Mr. Benson (PICHANI)Mazishi yatafanyika Jumanne Tarehe 25 October 2016 Saa 9 Alasiri Bagamoyo Mkoa wa Pwani.
Mr. Benson ameigiza kama Mume aliyesalitiwa na Mke wake. Aliamini kuwa ana mtoto mkubwa kumbe mke wake alimsaliti na rafiki yake.
INALILAHI WAHINALILAHI ROJIUN
katika Tamthilia ya SIRI ZA FAMILIA inayotengenezwa na JASONS PRODUCTIONS na kurushwa na EATV kila Jumatatu hadi Alhamisi saa 12.30 jioni amefariki jana Jumatatu tarehe 24 October 2016 katika Hospitali ya Kinondoni. Marehemu amefariki ghafla akusumbuliwa na Tumbo.


0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA