Anga huru la kimataifa Afrika, Tanzania haimo?

Image result for africa unionKatika mkutano wa viongozi wa Umoja wa Nchi za Afrika AU uliokutana Addis Ababa chini ya Kiongozi wake mpya wa umoja huo Rais Paul Kagame, liweza kuwashawishi viongozi wa Kiafrika kukubali na katika huweka saini mkataba utakaojulikana kama Single African Aviation Market. 


Yaani mkataba wa ANGA HURU ndege za nchi yetu zanaweza kwenda huko na zao kuja kwetu huku kukiwa na TOZO dogo sana la Ushuru miongoni mwa mambo mengine yaliyozingatiwa.
Swali kwa nini Tanzania HATUMO?


Swali linalonisumbua ni kuwa. Huku tunataka tuwe na ndege ZETU tufunguliwe ANGA za nchi zingine, huku Viongozi wetu husika HAWAHUDHURII mikutano kama hii na wanaohudhuria ni wa NGAZI za CHINI si wa kiwangocha MKUU wa NCHI {Heads of State} 

Na hivyo kuwafanya mambo mengine kuwawia VIGUMU kuweka saini kwa niaba ya Rais katika mambo makubwa kama hayo.

Sasa kama tunazidi kuongeza ndege mpya, hizi ndege ni za KWENDA WAPI na ANGA lipi? 
Wakati Rais Magufuli HAHUDHURII mikutano kama hii ambayo ni muhimu?

Najua lame excuses ni kuwa oh Rais aalikuwa na Majukumu mengine, kwani haya majukumu huwa hayaishagi. Si LAZIMA tunaaangalie PRIORITIES/Mambo MUHIMU kwanza?

Je ndoto zetu za kuwa na shirika KUBWA la lenye FAIDA litatimia kweli kama Tanzania tuna SKIP/Epuka mikutano itakayoyupatia TIJA KAMA HII?
Baadhi ya nchini kama ifuatavuyo:
Benin
Botwsana 
Bukina Faso,
Cape Verde, 
Republic of Congo siyo {DRC}, 
Ivory Coast,
Egypt, 
Ethiopia, 
Gabon, 
Ghana,
Guinea, 
Kenya, 
Liberia, 
Mali, 
Mozambique, 
Togo 
Zimbabwe
Je TANZANIA kwa nini sisi HATUJIHUSISHI wala kuionyesha interest katika mambo kama hayo.
Hata kama ni Trade/Economic Protectionism policy naona tunatakuwa TUMEJITENGA sana.Inaweza ikawa conterproductive in long term. 
Na si nzuri kwa uchumi wa nchi yetu. 

Ni nani atatukaribisha kwenye ANGA LAKE kama sisi wenyewe HATUTAKI kuwakaribisha wengine

Chapisha Maoni

0 Maoni