Jokate Amnadi Mtuli "Mtulia ni Mbunge Mteule Anayesubiriwa Kuapishwa tu"

"Mtulia ni Mbunge mteule unayesubiri kuapishwa tu" - Jokate

"Mtulia umehaidi Vijana mikopo, hakikisha unawapatia Vijana. Sitarajii kama utawaangusha Vijana, sitarajii kama utaniangusha nami pia" - Jokate

"Mtulia ukishinda usiwasahau hawa Vijana wote wanaojitoa kwa ajili yako" - Jokate

"Nawaombeni Vijana muongee na Vijana wengine, Februari 17 mjitokeze kumpigia kura za ndiyo Mtulia" - Jokate 

Chapisha Maoni

0 Maoni