Baraza la Vijana Chadema Taifa ( BAVICHA) linamtaka na kumshauri Rais Magufuli kuwafukuza kazi mara moja Mwenyekiti wa baraza la usalama Jijini Dar es salaam, IGP Sirro na Waziri Mwigulu Nchema kutokana na kutochukua hatua kwa matukio yanayoendelea hapa nchini.



TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBUSCRIBE



CC
MUUNGWANA BLOG

Chapisha Maoni

0 Maoni