kumekuwa na uhusiano mkubwa sana wa wanaume kuwa na vipara na kitendo
cha kufanya mapenzi.utafiti wa kisayansi kabisa unasema kuwa wanume
ambao wana vipara ni so sexy na kuwa wana uwezo mkubwa sana wa kucheza
game.yaani unapokuwa na mwanaume kama huyo kitandani kama we ni mdada
jihesabie kuwa una uhakika wa kupata kipigo kitakatifu.
wataalam wanasema wanaume wenye kipara wanakuwa na higher level ya
testosterone kuliko wanaume wenye nywele. na hii wame prove kisayansi.
pia wanaume hawa wanaonekana kuwa wanaonekana ni wanaume hasa kwa maana
ya masculine,wenye nguvu na misimamo ya kiuanaume huku wakionekana kuwa
ni protective sana kwa wanawake wao.
A recent scientific study found that men with bald heads are perceived to be more masculine, dominant and stronger.
wanawake wengi marekani,uk na ulaya kwa ujumla wameonekana kupendelea
sana wanaume wenye Upara au wanaonyoa upara. wanasema hawa huonekana ni
MACHO MEN. wanaonekana ni wanaume cool, wababe na wenye mvuto. hii
imetokana na style ya sasa wanaume wengi wanapenda kupiga kipara tu au
kunyoa unga na kufuga ndevu. kule uarabuni hawa huitwa beruberu. yaani
wanaume shababy hasa ambao ni kinyume na masharobaro.
sasa utafiti wa kitaalam unasema wale wanaume wenye kipara cha asili.
Baldness. wanakuwa na hormones nying za testosterone. hormones hizi
ndizo zinazohusika na hamu au tamaaa kubwa ya kufanya mapenzi.
mwaka 1960 Dr J.Hamilton kutoka chuo cha Yale alifanya utafiti huu wa
upara yaani wanaume wenye kipara cha asili na kuwa na nguvu za
kiume.lakini dr huyu hakuwa ndiye mtu wa kwanza kugundua hili Aristotle
na Hippocrates walishagundua jambo hili na kulitolea maelezo.
inasemekana enzimes zinazobadilisha testosterone kuwa dihydrotesterone
ndizo ambazo huhusika hapa. sasa kutokana na testosterone kuwa nying
husababisha foliko kujibana na hii inapelekea nywele kichwan kukosa kile
kiwango cha madini yanayotakiwa kukifikia na kusababisha upara. hivyo
hizo testosterone zinakuwa nying kwa jamaa husika na kumsababishia muda
wote kuwa na hamu ya kufanya tendo. na tukumbuke kuwa ukikosa
testosterone ndiyo inapelekea kuwa hanithi.
Testosterone ni hormone muhimu sana za androgen ambazo zinahusika
na Uanaume, kusimamisha uume imara kabisa na hata pia hasira kwa watu
wengine. na wanaume wengi wenye kuwa na upara wana semekana kuwa na
tabia hizi za kupenda sana kufanya mapenzi au kufanya mara nying/kwa
muda mwingi. pia kuwa na hasira sana wanapochokozwa.kuwa wapole
na wenye ukaidi flan wa kujiona wao ni wanaume hasa. ila udhaifu wao
mkubwa upo kwa wanawake. huko huwa wapole na dhaifu kwa sababu ya kuwa
upande huwa huwaza kwa kutumia kichwa cha chini. na mara waingiapo
kupiga kazi hupiga kazi kweli kweli.
nliposoma habari hizi miaka kadhaa iliyopita nikasoma tena na tena mwaka
jana toka kipind hicho nami nimekuwa kuanzia hapo nakoleza napiga
kipara kila week. tena huwa nataka kichwa kisuguliwe hasa. hii
imenifanya niweze kukutana na mademu wengi na weng wamekuwa wakitamka
kuwa nipo sexy sana na wanapenda wakati wa kunanii kuzungusha mikono yao
kichwan kwangu. jam,bo ambalo huniongezea hasira za nyati/simba wakati
wa kitendo na wakati huo huo mwanamke naye anasema huwa anahisi kama ndo
anachezea kile kichwa cha chini.
actually sitaki kusema kama nina kipara cha asili au sina maana si lengo
hilo. ila nawakaribisha wanaume wenzangu kuwa kwa sasa ni mwendo wa
kupiga kipara tu nao wataona baada ya muda hali itakuaje.
baadhi ya watu maarufu wenye upara au ambao sasa nao wameamua kuwa
wanayoa kipara wakati wote .ni kama Bruce Willis, Andre Agassi au
Michael Jordan. hawa kiasili wana upara nao hunyoa upara wanawake wengi
huko mamtoni wamekuwa wakiwazimia sana na kusema wanaonekana strong and
masculine kuliko wanaofuga nywele au kuremba nywele.
Yaliyomo humu si maoni yangu binafsi usinishambulie mi sina kosa
nimeleta Habari kama ilivyo. lakini pia si lazima kwa asilimia 100 iwe
hiyo ndo sababu nadhan mnafaham kuwa kuna takwimu huwa zinatoka so ni
wazi inawezekana kukawa na exceptions.
akina dada pia mtakuja na mawazo yenu. maana ninyi ndo mnaweza na ushahidi kamili kwa suala hili.
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA