Baada ya rich mavoko kuachia wimbo aliomshirikisha diamond ,
Msanii alie karibu na alikiba ommy dimpoz amaamua kurusha dongo kwa WCB huku akiamini WCB wananunua viewers
Hata hivyo kama mnavyojua Diamond na uswahili wake hakutaka kuacha
lipite kimya kimya akaamua kumjibu ommy dimpoz kwa kutupia dongo
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA