Hayati Bob Nesta Marley aliikumbusha Dunia

Hayati Nesta Bob Marley aliikumbusha jamii ya Leo kuwa kbla hujaongea na boss vyote tulivyo navyo tumeona vimepotea.
(before we talk to the boss
All that we got seem lost
we must have real paid the cost).


Alijalbu tu kuikumbusha dunia tuwe makini na lazma tuwe jasiri, tusiogope wala kuwa na wasi wasi Mbele ya wakuu wetu .na kumalza.kwa.kusema
(that is y we gonna be burning and looting to gvt .)

Bob hakuishia apo aliisii dunia tuungane hasa Africa pale alipo sema Africa.Unite na hasa pale alipo sema (Africa unite bse the children wanna come home)

Bob hakukosea kabsa kuwa tunatka kaludi kweli lakin ili tuludi nyumban lazma tuungane tuwe wamoja mwenye kushirikina ,kupendana na kujari utu wetu.
anamalizia kwa kusema (how good and how pleasant it would be before God and man.)
As its been said already let it be done.

Bob alienda mbali zaid ktk wimbo wake (SURVIVAL) moja.ya verse zake alisema,how can you telling me that you care?
when every time I look around
The people suffer in the suffering, in every way in everywhere.

Aliweka wazi msimamo wake zidi utawala kwa kikoloni na hasa bahadhi ya wale viongozi Africa walio vibaraka wasio jali watu wao.
Alisema lazma Africa iwe na msimamo mmoja tu zidi ya wale alio waita puppets.

Bob alikumbusha upendo na hekima kwa Africa wenyewe ktk.wimbo wake (one love) tupandane tushikamane ili kulikomboa bara Africa.

Na pale alipo niacha.hoi katka nyimbo bora kbsa inayo sema (kaya)
I wake up and turn I lose x2
for rain is falling
got to have kaya now

I feel so high,even touch the sky,
above the falling rain.
I feel so good in my neighbourhood so here I come again
I got to have kaya now x2

Utasemaje hiii kitu isitumike kama legendary kasema hivi.
Jalibu kutoa dhana potofu kuwa hui kitu (kaya)kuwa ni kitu Mbaya.

let we use in positive as Bob did

One love    

Chapisha Maoni

0 Maoni