Mtoto wa Kike ambaye alikuwa ni Panya road asimulia mazito

Alikuwa anatumia madawa ya kulevya kwa miezi 3 ana miaka 14 alishawishiwa na rafiki wake wa kiume aitwaye Deusi kujiingiza kwenye makundi na kutumia dawa hizo
Alijjingiza kwenye panya Road naye akawa anatumia silaha kupora, wakikamatwa na polisi walikuwa wakitolewa na ndugu

Kwenye crew yao kulikuwa na wavulana 29 na wasichana wa 3


Chapisha Maoni

0 Maoni