Nyerere: Rais Mwinyi mpole sana wakati mambo ya kuongoza nchi yanahitaji uwe rafu

Nyerere katika hotuba na waandishi wa habari kazungumzia kuwa
kiongozi bora hapaswi kuongoza kwa kufuata dini wala kabila, pia hapaswi kupuuza dini na kabila za watu,

kazungumzia kuwa kama watu wamechoka na muungano wa serikali mbili basi waende moja siyo TATU
Suala la OIC, na watu kumtaka alisemee bungeni,

kadokeza kuwa rais mwinyi ni mpole sana na hawez kuwa accused u dictator, akasema kwa wakati wake nyerere wangemtuhumu lakin wangemuonea, ona video nzima
mambo ya nchi yanahitaji uwe rafu.

Chapisha Maoni

0 Maoni