Alitekwa miaka ya 1780 ivi huko South Africa akapelekwa ulaya kwenye
madanguro, akafa, hakuzikwa ila alifanyiwa upasuaji wa ubongo, makalio
yake makubwa na sehemu za siri zikawekwa maabara uko ufaransa na
uingereza.
Then Mandela alienda kurudisha mabaki ya mwili wake (chini ya
mabishano makali sana bungeni uko ufaransa) baada ya kwisha kwa utawala
dhalili wa rangi, akazikwa uko kwa Madiba kwa heshima kubwa.
Source:Davie, L (2012) Sarah Baartman, at rest at last:Pretoria
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA