Bifu la Flavian Matata na Jokate lazidi kufukuta, vijembe vyazidi kuchukua sura mpya social media, kisa cha bifu hiki hapa

Bifu la Jokate na Flavian Matata linazidi kukua siku baada ya siku. Chanzo ni Jokate kuiba idea ya Flavi ya kutengeneza mabegi ya mgongoni kisha kutangulia sokoni. Sasa imebaki ni vijembe mtindo mmoja kwenye social media. <<<DOWNLOAD MAHENGA BLOG APP HAPA>>>

[​IMG]

[​IMG]

[​IMG]
[​IMG]

Chapisha Maoni

0 Maoni