Jana Novemba, 8 vyombo mbalimbali vya habari viliripoti habari ambayo
ilikuwa inalihusu Shirika la Umeme nchini (TANESCO) kuwa linampango wa
kuongeza bei ya umeme.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania, (TANESCO), Mhandisi
Felchesmi Mramba ametoa taarifa kwa umma na kusema kuwa ni kawaida kwa
mabadiliko ya bei kufanyika lakini inaweza kupanda au kushuka kutokana
na maamuzi ambayo yatafanywa na EWURA.
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA