BAADA ya Hitmaker Ommy Dimpoz kuzungumzia kuhusu ugomvi wake na aliyekuwa swahiba wake Diamond platnum leo Malkia wa Bongo Movies Wema Sepetu amsafia Dimpoz '
Malkia huyo wa filamu nchini, amempongeza hitmaker huyo wa Kajiandae kwa kumsifia kuwa ni mpole na mwenye busara ila alipenda kile alichokifanya kwenye mahojiano yake hayo.
Kupitia Mtandao wa Picha wa Instergram
Busara, Upole, Hekma… Thats wat u r made of… Im very very Proud and Impressed kwakweli… Mnyonge mnyongeni haki yaki mpeni… Sasa sio mje muanze kusema sijui napick sides… Nooooo…!!! Sina side maana na mimi pia ni outsider tu… But kwa leo nimependa ulichofanya Ommy…. Forever Bae… 👌🏽Sometimes being the bigger person doesnt hurt… @ommydimpoz
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA