Aliyetumia akaunti ya Shilole Instagram kutukana watu atupwa Segerea


Hatimaye anayedaiwa kutumia akaunti ya @shilolekiuno_official atupwa Segerea baada ya kukosa dhamana katika Mahakama ya Kinondoni Mapema jana👌👌👌👌👌sasa mjihadhali na MAPOVU yasiyo kuwa na lugha za kistaarabu huko Instagram vinginevyo mtaishia Ukonga au Segerea👌👌👌

Chapisha Maoni

0 Maoni