Baada ya Kusemekana kuwa Mwigizaji Chuchu Hans ni Mjamzito na kuwa anaficha watu wasijue Wambea wa mjini tayari wamefuma picha yake akiwa ni Mama Kijacho...
Chuchu Hans Alikaririwa Akisema Haya:
“Unajua vitu kama hivyo ni too personal na nisingependa kuviongelea especially kwenye media. Lakini muda muafaka ukifika kila mmoja atajua nini ni nini, ila kwa sasa acha ikae hivyo watu waendelee kuhisi,” amesema muigizaji huyo.
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA