Taarifa njema kwa mashabiki wa Simba kuhusu Jonas Mkude


Baada ya story kuhusu kuwepo mgogoro wa chini chini kati ya Simba na Nahodha wake Jonas Mkude, huku taarifa zikienda mbali kuwa huenda Akaachwa safari ya Mtwara ambayo Simba inaenda kucheza na Ndanda.



Mtembeleaji wetu wa MAHENGA BLOG Fahamu kuwa Jonas Mkude ni mmoja kati ya wachezaji walioenda Mtwara leo kwaajili ya mpambano huo dhidi ya Ndanda .

Chapisha Maoni

0 Maoni