CCM yaomboleza kifo cha mbunge wa zamani wa Kilwa Prof. Idrisa Mtulia

ENZI ZA UHAI
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (ushoto) akisalimiana na Profesa Idrisa Mtulia katika mji mdogo wa Ikwiriri wilayani Rufiji akiwa katika ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana ya kukagua na kuimarisha uhai wa Chama katika mkoa wa Pwani. Picha Maktaba

Chapisha Maoni

0 Maoni