Baada ya Arsenal kukubali kichapo cha bao 2 kwa 1 kutoka kwa Eveton babu mzee Arsenal Wenger amesema Haya ndugu mtembeleaji wa MAHENGA BLOG.
" Kwa bahati mbaya hatujatumia nafasi, hatukutengeneza nafasi nyingi sana, lakini tulipata kadhaa za wazi na tukashindwa kuzitumia " alisema Wenger.
Aliendelea kwa kusema " Eveton walikuwa vizuri sana upande wa ulinzi kwa hili wanahitaji sifa, walipigana kwa kila mpira na nafikiri sisi tuliwapa imani "
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA