Jeshi
la Polisi Bagamoyo mkoani Pwani limekamata wahamiaji haramu 81
waliokuwa wakitokea Mombasa nchini Kenya kuelekea Afrika Kusini
baada ya
kutelekezwa porini katika kijiji cha Kingani Bagamoyo na baadaye
kujitokeza pembezoni mwa bahari ya Hindi katika harakati za kutafuta
chakula baada ya kushikwa na njaa.
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA