Mwanasiasa mkongwe nchini Kingunge Ngombale Mwilu atoa tathmini ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanganyika.
Akichambua masuala mbalimbali Mzee Kingunge ameelezea mambo yaliyofanywa
na serikali ya awamu ya kwanza na kuzungumzia mambo kadhaa ya tawala
zilizofuata.
Katika nyanja ya maendeleo ya kijamii Mzee Kingunge amesema kuwa kwa awamu ya kwnza ilinaanzia kwenye elimu na afya
Uchumi na kwa upande wa uchumi basi kwa wakati huo ilijumuisha wananchi woote kwa kazi kwa bidii.
Aidha Mzee Kingunge ameelezea kuwa kwa sasa taifa linaongozwa bila ya
kufuata mipango ya ndeleo, wanachi wanataka maendeleo na viongozi
wanataka maendeleo lakini kikwazo ni katika upangaji wa maendeleo.
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA