Mbatia amesema Tanzania inahitaji kuwekeza zaidi katika elimu ili kuinusuru sekta ya afya

 Mbunge wa Jimbo la Vunjo na Mwenyekiti wa NCCR- Mageuzi,James Mbatia amesema Tanzania inahitaji kuwekeza zaidi katika elimu ili kuinusuru sekta ya afya kwani amedai kuwa Watanzania wengi ni wagonjwa lakini hawajijui.

Chapisha Maoni

0 Maoni