Pengine aje inaweza ikawa nyimbo ya mwisho ya alikiba chini ya producer abydad ambaye ametengena nyimbo kadhaa za alikiba. <<<DOWNLOAD MAHENGA BLOG APP HAPA>>>
Abydad ambaye ametengeza hit kama #nagharamia#chekecha na #aje ambazo zilifanya vizuri Sana. Hivi karibuni ilikuwa inatarajiwa kuachiwa #aje remix ambayo ilipangwa kuachiwa November 29 siku ya birth day ya alikiba, Lakini habari zinazoendelea kusambaa ambazo zilianza Kama masihara ila kwa sasa zinaanza kuaminika kutokana na taarifa za watu wa karibu, Ni kwamba abydad ndo anayechelewesha kutoka kwa aje remix na mpaka sasa amekataa kutia sahihi yake kwenye mkataba ili ngoma iwe released. Abydad anataka 50%/50% katika nyimbo ya aje ikiwemo katika show iTunes na mapato yatakayo patikana abydad anataka nusu kwa nusu. Kuna taarifa kwamba wcb wanamrubuni abydad ili aachane na kiba japo taarifa hizo sio confirmed Hii ni baada ya Ku tengeneza 'kokoro'
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA