Ndege ya jeshi yapotelea angani na abiria 91 huko Urusi
Ndege ya Jeshi la Urusi, Tu-154 iliyokuwa ikielekea Syria yapotea kwenye Rada muda mfupi baada ya kupaa. Ilikuwa na abiria 91.
Asilimia kubwa ya waliokuwa kwenye ndege hiyo ni Wafanyakazi wa Wizara ya Ulinzi ya Urusi
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA