Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli ambaye ndiye Amirijeshi Mkuu wa Majeshi la Ulinzi na Usalama, ataongoza kwa mara ya kwanza sherehe za Maadhimisho ya Uhuru wa Tanzania, zitakazofanyika jijini Dar es Salaam, tarehe 9, Desemba mwaka huu.
Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Nchi (Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Watu wenye ulemavu, Ofisi ya waziri Mkuu, Jenista Mhagama na Kusambazwa na Idara ya habari, MAELEZO, sherehe hizo zitaambatana na shughuli mbalimbali ikiwemo paredi ya vikosi mbalimbali vya Majeshi ya Ulinzi na Usalama.
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA