Mkasa huo umetokea wakati Rais huyo akiwa katika mazungumzo na wanasheria wa kimataifa kabla ya kuchukua simu yake na muda mfupi sauti za mwanamke na miguno zinasikika kutoka kwenye simu hiyo ndipo ghafla akaitupa chini.
Video hiyo iliyovujishwa na mtandao wa LiveLeak.com imewaacha watu wengi waliokuwa ndani ya mahakama hiyo wakicheka kufuatia tukio hilo huku baaadhi wakiishia kuguna.
Itazame hapa chini video hiyo ya mkasa wa wa Rais wa Bolivia.
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA