Shaaban Luth Kitentya anawania tuzo ya viongozi bora vijana barani Africa

Habari Tanzania!!
Mtanzania mwenzetu *Shaaban Luth Kitentya* Amekua Nominated kwenye Kipengele Cha *Leader of the Year* katika Tuzo Za Viongozi Bora Vijana barani Afrika.



Naomba tuonyeshe uzalendo kwa kumpigia kura kwa kufuata Link chini kabisa, kisha Chagua Kitentya Luth kwani ushindi wake katika tuzo hizi kutazidi kuliletea heshima kubwa taifa letu.

Mtanzania mwenzetu huyu ameingia kwenye tuzo hizi kwa kua yeye katika uchaguzi mkuu wa 2015 ndiye aliyekua mgombea ubunge mwenye umri mdogo kuliko wagombea wote nchini (21yrs) na alikua akigombea jimbo la Kibiti Mkoa wa Pwani kupitia chama cha ACT-Wazalendo.
Mwisho wa kupiga kura hizi ni trh 28'Dec'2016

Chapisha Maoni

0 Maoni