Simba ambao wanaidai Yanga Milioni 50 kutokana na sakata la Hassan Kessy kuamuliwa Yanga kuilipa Simba Kiasi Hiko.
Ndugu mtembeleaji wa MAHENGA BLOG Baada ya issue ya Yanga kutolipa wachezaji wao Mishahara Simba walijipanga kuandika barua ya kutaka kujua wanalipwa lini pesa zao na Yanga na namna nzima ya ulipaji.
Lakini msemaji wao Haji Manara akiongea na RFA amesema wao wako tayari kuisamehe Yanga Pesa Hiyo ila ni lazima Yanga iandike barua ya kuomba kusamehewa deni hilo na isainiwe na Yusuph Manji na si mtu mwingine.
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA