VIDEO: Angalia jinsi makomando wa JWTZ walivyoonesha ukakamavu kwenye sherehe za miaka 55 ya uhuru leo.


Leo  zimefanyika sherehe za maadhimisho ya 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Uhuru Dar es salaam, ambapo Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli alikuwa mgeni Rasmi. 

Mbele ya Rais Magufuli Makomando wa JWTZ walipata nafasi ya kuonyesha uwezo wao ikiwamo namna ya kukabiliana na adui. 



Chapisha Maoni

0 Maoni