Kupitia Ukurasa wake Rasmi wa Facebook imeitakia heri ya sherehe za Uhuru Tanzania pamoja na Mashabiki wa Club hiyo nchini. Club hiyo kubwa ya kandanda majuu imekuwa ya kwanza kwa timu kubwa duniani kuungana na Tanzania katika kusherehekea miaka 55 ya uhuru.
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA