Siku kadhaa kumekuwepo na ripoti mbalimbali kuhusu kuwepo kwa mgogoro
baina ya serikali ya Tanzania na uongozi wa kiwanda cha Dangote kwa kile
kinachotajwa kuwa ni kodi na matumizi ya makaa ya mawe kutoka nje vs
kutumia makaa ya mawe ya ndani.
Dangote amesema si kweli. wako tayari kutumia resources zinazopatikana nchini.
Hana mpango wa kuondoa uwekezaji wake nchini na ili kuthibitisha kauli
yake tayari wameingiza magari si chini ya 600 kwa ajili ya shughuli
zake.
Lengo lao pia la kuwekeza nchini ni kuhakikisha wanakuza ajira kwa watanzania
na miaka ijayo watawekeza katika sekta nyingine kama kilimo, NK.
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA