Emmanuel Mbasha Adaiwa Kuwa na Msongo wa Mawazo..Kisa Flora Mbasha....Afanya Hilo Kumkumbuka


Kwenye ukurasa wake wa Fb,Emma Mbasha amemtakia heri mkewe wa zamani Frola,kwa kuandika "Happy Birthday Mrs Daud Kusekwa"



Watu wa karibu wa Emmanuel Mbasha wanasema amekuwa na msongo wa mawazo kwa muda mrefu mara baada ya kutalikiana na mkewe.Hali hii imemfanya kuwa anajitahidi kupost hapa na pale matukio anayofanya yenye unasaba na starehe(kula bata) ili kuonyesha kuwa yupo "Ok"

Ila ukweli ni kuwa anateseka,na hasa ukizingatia alijijengea mazingira ya "umariooo",hali inayomfanya kuhangaika huku na kule

Chapisha Maoni

0 Maoni