KATIBU WA CHAMA CHA ACT-WAZALENDO AJIENGUA WADHIFA TAYARI KWENDA MASOMONI

Kwa mujibu wa ujumbe katika ukurasa wake wa twitter, Prof Kitila Mkumbo amesema, tayari hatua za kumuaga Bw. Simon Mwigamba kwenda masomoni chuo kikuu cha kumbukumbu cha Kenyatta ambapo anatarajia kuanza masomo yake ngazi ya shahada ya uzamili (Masters) kitivo cha biashara.

Taarifa rasmi zinasema, Katibu mkuu huyo ameshaidhinishwa na chama kwa utaratubu maalumu wa kwenda kuendelea na masomo.

Chapisha Maoni

0 Maoni