SHEIKH HEMED JILALA AMFANANISHA JPM NA MWANAFUNZI WA MTUME MUHAMMAD (S.A.W)




Ikiwa leo ni siku yake ya kuzaliwa, Sheikh Hemed Jilala kiongozi mkuu wa dhehebu la kiislamu la Ithnaeri la Tanzania, amesema anamfananisha rais Dr John P. Magufuli na Imamu Ally, mwanafunzi wa Mtume Muhammad ambaye katika uongozi wake miaka takribani 1937 iliyopita alisifika zaidi katika mambo anuai, ikiwa ni pamoja na kumtegemeza Mungu katika uongozi wake.

Katika hatua ya pekee, sheikh Hemed Jilala amemsifia rais JPM kwa kumtegemeza Mungu kwa kila jambo katika utawala wake


Chapisha Maoni

0 Maoni