PROF. TIBA: MNAONIITA MWIZI MTAISOMA NAMBA


Mbunge wa Muheza Kusini Prof. Anna Tibaijuka amesema wanaomuita mwizi wataisoma namba. Kauli hii imekuja baada ya watu wengi nchini kuendelea kumfuatilia juu ya kashfa kipindi cha figisufigisu za Tegeta Escrow ambapo kamati ya kudumu ya bunge (PAC) kumtuhumu kupokea kiasi cha sh. bil.1.6 toka kwa mmiliki wa IPTL Bw
. James Rugemalila kinyume cha sheria ya maadili ya uongozi.

Mama Tiba ameyasema hayo bungeni jana Alhamisi ya Tarehe 4 ambapo alikuwa mkali na kusema kwamba wote wanaomwita mwizi wataisoma namba.

Huyo ndiye mama Tiba, na wewe je utaisoma namba?

Chapisha Maoni

0 Maoni