Breaking news!!. Bomoabomoa yawaliza wafanyabiashara wa Mbezi muda huu.

Bomoaboa inaendelea hivi sasa endeo la Mbezi huku wafanyabiashara wakilia kula hasara. Tukio hili linaoneshwa na kituo cha ITV  huko maeneo ya Mbezi jijini Dar-es-salaam kwa wale waliojenga katika hifadhi ya barabara.



Ubomoaji unaendelea huku wananchi wanajaribu kuokoa mali zao.

Chapisha Maoni

0 Maoni