
NSSF imekuja na mpya kwa wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma na koleji zake zote. Mwanafunzi UDOM ukijiunga na NSSF kupitia mpango maalum wa AA Plus yaani Akiba na Afya utapatiwa bima ya afya ya kudumu bure kabisa kama hauna na hautolipia bima ya afya kila mwaka. Weka akiba pia na NSSF; akiba ambayo utajitunzia kuanzia kujiunga
na utarudishiwa mafao yako wakati utakapohitaji baada ya muda wa masomo au unaweza kuendelea kujiwekea akiba hata baada ya kumaliza chuo.
kwa mwananafunzi UDOM jinsi ya kujiunga na NSSF unatakiwa kulipa kupitia account za NSSF ambazo ni;
NMB: 50403500058
CRDB: 01j1028249440.
Ukisha lipia njoo na pay slip wakati wa usajili tutakuwepo vitivo au college zote kwa ajili ya kupokea wanachama wapya, Ila kama tayari umeshajiunga endelea kujiwekea akiba na usilipie bima ya afya tena.
Kwa maelezo zaidi ingia kwenye website ya UDOM kupitia kwenye student announcements kwenye payment instructions.
Zaidi niwatoe wasiwasi mpango huu unafahamika kiutawala hapa chuoni hivyo, KARIBUNI SANA!!
Kwa mawasiliano zaidi, wasiliana na wakala UDOM, Bw. Dario Augustino kwa simu nambari; 0756854466
0716869881
0759020507


0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA