CWT TABORA KUTANGAZA MGOGORO NA MWAJIRI WAO KWA KUNYIMWA FURSA YA KUJIENDELEZA.

Chama cha walimu mkoani Tabora kimetangaza mgogoro na mwajiri kwa kile ambacho kinadaiwa kuwa walimu wananyimwa ruhusa kwenda kujiendeleza kimasomo. Blogu ya Hussein Juma imedokezwa.

Akizungumza na waandishi wa habari mkoani Tabora jana, mwenyekiti wa CWT mkoani humo amesema, mara nyingi wamekuwa wakinyimwa ruhusa kwenda kusoma, na hicho kimetafsiriwa kama kuwafanya wasiweze kujiendeleza.

Chapisha Maoni

0 Maoni