WAVUVI KUWATISHIA MAAFISA UVUVI MAGU KUWAZAMISHA KWENYE MAJI

MWANZA.
Wavuvi wanaotumia vyombo haramu vya uvuvi wamedaiwa kuwatishia maafisa uvuvi wilayani Magu kuwazamisha kwenye maji kwa kile kinachodaiwa wanawafuatilia.

Mkurugenzi wa halmashauri ya Magu amesema, wamejipanga kuboresha ulinzi kwa kutumia sungusungu watakaowapatia mafunzo maalumu ya kukabiliana na wavuvi wnaotumia zana haramu.

Chapisha Maoni

0 Maoni