Kikwete: Ukiwa Kiongozi mpya ni lazima uonekane kweli mpya na mambo yawe mapya

J.K amesema hivi leo ukiwa Kiongozi mpya ni lazima uonekane kweli mpya na mambo yawe mapya. Kama mkuu wa chuo mpya atajitahidi kutatua kero zilizopo hapo chuoni.

Akaongeza kusema sio unaharibu ya zamani Bali unaboresha yawe vizuri.

Hayo ameyasema Leo akihutubia ktk kongamano la kuadhimisha miaka 55 ya utoaji elimu chuo kiku cha Dar. UDSM.Mtazame JK hapa.

Chapisha Maoni

0 Maoni