Majibu ya Meya Kinondoni kwa wanaohoji uwepo wa Dk. Tulia na Ndalichako.



October 23 2016 baraza la halmashauri ya manispaa
ya Kinondoni, Dar es
salaam lilitangaza ushindi
wa nafasi ya umeya kwa
Benjamin Sitta ambaye
alipigiwa kura na baadhi
ya wajumbe.
Lakini moja ya headline
zilizochukua nafasi kubwa
kuanzia kwanye mitandao
ya kijamii hadi magazetini
ni uhalali wa uchaguzi
huo kuwa haukuwa wa
haki baada ya kuonekana
ushiriki wa Naibu spika
Dk. Tulia pamoja na
Waziri Ndalichako. Meya huyo anashare na sisi
baadhi ya tuhuma hizo.
"Kuna taarifa za upotoshaji
nimeziona, watu wajue
Meya anachaguliwa na
baraza la madiwani
ambao ni wakata/viti
maalum na wateule,tuna
madiwani wa kata, viti
maalum pamoja na
wateule wa Rais
wakiwemo Dk. Tulia,
Waziri Ndalichako n.k
ambao makazi yao ni
Kinondoni" –Benjamin
Sitta

"Hapa kwenye wateule wa
Rais ndio kumekuwa na
upotoshaji, ikumbukwe
kwamba hawa wote
wanaishi Kinondoni na
wote ni wajumbe halali" –
Benjamin Sitta

CHANZO:MILLARDAYO BLOG    

Chapisha Maoni

0 Maoni