Bifu la Lady Jay Dee kapuni, nyimbo zake sasa kupigwa clouds bila tatizo.

Unaambiwa Kwa Sasa hakuna cha Komando wala nini, ile bifu kubwa kuwahi kutokea kwenye game ya Bongo Flava kati ya Clouds FM na Lady Jay Dee imezikwa rasmi baada ya Uongozi wa
Lady Jay Dee Kuruhusu kituo hicho cha radio kupiga nyimbo za Lady Jay Dee iwezavyo kuanzia sasa...

Chapisha Maoni

0 Maoni