LIGI KUU BARA: YANGA YAANGAMIZWA NA MBEYA CITY, SIMBA YATAFUNA CHAMA LA WANA.



Leo mtanange wa ligi kuu bara umeendelea katika viwanja tofauti tofauti, ikiwa kubwa zaidi ni Yanga imelizwa mabao mawili kwa moja na Mbeya city kwenye uwanja wa Sokoine huko Mbeya.


Wakati huohuo, chama la wana Stand united limeshikiriwa na Mnyama Simba kwenye uwanja wa CCM KAMBARAGE, ambapo Kichuya ameiliza Stand United bao moja kwa mpira wa adhabu uliopigwa moja kwa moja na kutinga kwenye nyavu za Stand United.

Kichapo cha Stand United kumeifanya Simba kuendelea kujitanua kwenye nafasi ya kwanza baada ya kubeba pointi zingine leo na kufikisha point 36.

Chapisha Maoni

0 Maoni